Risiti papo hapo
Risiti yako inakuja kwa SMS, WhatsApp au barua pepe, kulingana na app uliyolipia, kwa Kiswahili au Kiingereza.
Lipa kwa Cheko
Sehemu moja ya kulipia huduma za Netpoa kwa pesa kwa simu, kadi au PayPal, ukiwa Tanzania au nje ya nchi.
Cheko haikuombi PIN yako popote isipokuwa kwenye ombi linalotokea kwenye simu yako mwenyewe.
Chagua ile iliyopo tayari kwenye simu au pochi yako.
M-Pesa
Airtel Money
HaloPesa
T-Pesa
Visa / Mastercard
PayPal
M-Pesa Kenya
Skani ulipe kwa app ya benki yakoChagua "Scan QR code kulipa" kwenye ukurasa wa malipo, kisha skani QR code.
NMB Bank
Ukurasa wa malipo wa NETPOA LIMITED
Unapolipia hosting, SMS au ada kwenye app ya Netpoa, Cheko hupokea malipo na kuijulisha app papo hapo.
Kwa nini Cheko
Risiti yako inakuja kwa SMS, WhatsApp au barua pepe, kulingana na app uliyolipia, kwa Kiswahili au Kiingereza.
Tunauliza mtandao wenyewe kabla ya kusema malipo yamefika, na ombi lilelile halikatwi mara mbili.
Taarifa za kadi na za kuingia PayPal unaziandika kwenye ukurasa wao salama, kamwe si kwetu.
Lipa ukiwa Kenya kwa shilingi kupitia M-Pesa Kenya, au popote kwa kadi au PayPal. Unaona bei kamili kwanza; bei iliyobadilishwa hushikiliwa kwa dakika 30.
Inavyofanya kazi
Kwenye app ya Netpoa, chagua pesa kwa simu, kadi au PayPal.
Pesa kwa simu: weka PIN kwenye ombi linalotokea kwenye simu yako. Kadi na PayPal: lipa kwenye ukurasa wao salama.
App inajulishwa papo hapo na unapata huduma yako.
Utaiona wapi
Cheko hupokea malipo ya huduma za Netpoa yenyewe tu.
Netpoa
Domain, Hosting na Seva.
PoaSMS
Kununua SMS za jumla.
Kanisa MS
Ada za Kanisa MS.
Sanya Business
Ankara za Sanya Business.
Msaada
Wasiliana na Netpoa ukiwa na kumbukumbu ya malipo yako (kwa mfano SMS-10231) na namba ya simu uliyolipia.